MKURUGENZI MPYA GEITA, ZAHRA MICHUZI AKABIDHIWA RASMI OFISI | ZamotoHabari.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Geita, Zahra Michuzi (kushoto) akikabidhiwa nyaraka ikiwa ni ishara wa kukabidhiwa ofisi na aliyekuwa Kaimu Mkurugenzi wa Halmasauri hiyo, Mhandishi Felix Nlalio jana katika, Mjini Geita. Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji wa Geita, Zahra Michuzi akiongoza kikao kazi na wakuu wa idara na mbalimbali, ambapo aliwasihi wafanye kazi kwa upendo na ushirikiano na kuheshimiana ili kuweza kuistawisha Halmashauri hiyo.

APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini