Paula Aonyesha JEURI kwa Fahyma "Amtaka Atoe Cheti cha Ndoa na Rayvann" | ZamotoHabari.





Kiufupi naweza sema mtoto kashakuwa, baada ya shabiki mmoja kumuuliza Paula kupitia Instagram kuwa "Unajua uchungu wa mume wew ila muonee huruma fahima umurudishie mume wake" 

PAULA alimjibu hivi 👇
Cheti cha ndoa please.!

Akiwa na maana kuwa Fahyma sio mke halali wa Rayvanny na kama ni hivyo basi alete cheti cha ndoa 

Rayvanny na Paula kwa sasa wanatoka kimapenzi na wameweka wazi penzi lao


APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini