RIDHIWANI, UJUMBE WA CHUO CHA DIT WATEMBELEA UJENZI WA BWENI JIPYA KIWANGWA SEKONDARI | ZamotoHabari.




 Na Mwamvua Mwinyi, Chalinze

MBUNGE wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete amekutana na ujumbe wa Wanafunzi, Walimu na Wafanyakazi wa Chuo cha Teknolojia Cha Dar es Salaam (DIT) walio kwenye ziara Katika Halmashauri ya Chalinze, ambapo wamefika pia kuwafariji wanafunzi wa shule ya Sekondari Kiwangwa.

Wakiwa shuleni hapo wametoa pole kwa Wanafunzi hao kwa ajali ya Moto Uliyounguza Bweni la Wasichana hivi karibuni.

Aidha wametembelea ujenzi wa Bweni Jipya, wamegawa masweta, na kuwapa moyo wanafunzi hao kusoma masomo ya sayansi.


APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini