Whozu Afunguka ya Moyoni Kwa Mpenzi Wake Tunda "Yes baby am coming" | ZamotoHabari.


Mwimbaji Whozu Anasema kitu anacho penda kwa mke wake ni kumkiss kila muda na anapenda sana kumuangalia usoni.

"Niwaambieni tu Mwenzenu me napenda kumkiss mama Lolla kila mda, ni kama dozi kwangu lips zake na nikikaribia sasa huwa napenda kumwangalia machoni , macho yake sasa..aaaw, huku nikimnongoneza kwa skio, Yes baby am coming"

Neno moja kwa whozu tafadhali.



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini