Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi mpira Paul Okumu ambaye ni Kipa wa timu ya soka ya Shule ya Sekondari Upili ya High Way jijini Nairobi Kenya wakati alipofungua mashindano ya Michezo ya Shule za Sekondari na Msingi kwa Nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha, Septemba 18, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua mashindano ya michezo ya Shule za Sekondari na Msingi kwa Nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha, Septemba 18, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua timu ya soka ya Shule ya Sikondari Upili ya High Way jijini Nairobi Kenya wakati alipofungua mashindano ya michezo ya Shule za Sekondari na Msingi kwa Nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha, Septemba 18, 2022.
Baadhi ya washiriki wa mashindano ya michezo ya Shule za Sekondari na Msingi kwa Nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha, Septemba 18, 2022.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA
0 Comments