Odds Kubwa Gemu za UCL na EFL Kutoka Meridianbet Kuelekea Wikendi! | ZamotoHabari

 


KUELEKEA wikiendi, timu nyingi Ulaya leo zina vibarua vya Ligi, tumekuwekea hapa baadhi ya gemu zinazokupa mkwanja poa kwa ajili ya wikiendi yako.

Sherrif akiwa anaongoza Kundi E la Ligi ya Europa atakuwa anasaka kumkosesha zaidi usingizi Man United. United atawekeza jithada zake kuepuka aibu baada ya kupoteza gemu iliyopita. Meridianbet wameipa uzito gemu hii na kuipa odds za ujazo, na machaguo kibao. Man United kuondoka na ushindi ana odds 9.6 wakati Sherrif kusalia na ushindi ana odds 1.2 usiache hii kwenye jamvi lako la ushindi.

Kwa upande wa AS Roma na Helsinki wote watakuwa wana pambania ushindi wao wa kwanza kwenye Kundi C la Ligi ya Europa. Wakati Roma akimuongoza mpinzani wake kwa tofauti ya magoli ya kufungwa, wakitokea mkiani, basi wote watataka kutumia gemu hii kujisogeza kwenye nafasi za juu. Mechi hii kupata magoli 3.5 Meridianbet wametoa odds ya 3.00. Sare ikiwa na odds 7.44 huku Helsinki akiwa na odds 16.6 kushinda, Suka jamvi lako hapa!

Ligi ya Europa ina matukio mengi Zaidi, Lazio wakiingia dimbani dhidi ya Midtjylland, Braga dhidi ya Berlin, Real Betis dhidi ya Ludogorets, Rennes dhidi ya Fenerbahçe na gemu zingine kibao. Meridianbet wametoa odds kuwa kwenye gemu hizi ukiwa na nafasi ya kuweka bashiri kwenye machaguo zaidi ya 2000. Suka jamvi lako kwa gemu zote za Europa kuelekea wikiendi.

Huku UEFA Conference leo tunashuhudia wataalamu wakiingia dimbani kusakata kabumbu wakisaka nafasi ya kufuzu kutoka hatua ya makundi. Villarreal anakuwa mgeni wa Hapoel Beer Sheva. Mwenyeji anasaka kumpindua Villarreal kwenye nafasi ya kwanza ya kundi hilo na amepewa odds 5.48 na Meridianbet akifanikiwa shughuli hiyo.

Silkeborg dhidi ya Westham na Instanbul dhidi ya Fiorentina ni miungoni mwa gemu kali pia kwenye UEFA Conference League, sambamba nag emu zingine kibao kwenye ligi hii. Chaka lako lenye odds za ujazo wa kukulipa vyema kuelekea wikiendi hii ni Meridianbet, suka mkeka wako wa ushindi hapa.

Bila kusahau, mabingwa hawa wa ubashiri, Meridianbet wanaendelea kukupa bonsai kibao na promosheni mbali mbali kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni. Unajiweka karibu na ushindi wa Casino Jackpots unapochagua kucheza michezo mbali mbali kwenye kasino ya mtandaono ya Meridianbet.

Ukiwa hauna intaneti, au kama mwanao ni mzee wa kusuka mikeka mikali, mpe mchongo kuwa kwa kupiga *149*10# anaweza kutupia majamvi yake na kuwa katika familia kubwa ya washindi wa Meridiabet.

Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini