UNAAMBIWAJE, Wikiendi hii boli litatembea kwenye viwanja tofauti barani ulaya, ni Ligi ya Epl, La Liga, Serie A, Ligue 1 na Bundesliga pamoja na ligi nyingine za mataifa ya Ulaya. Kamata ratiba ya mechi zenye Odds kubwa kutoka Meridianbet.
Ni raundi ya 14 ya epl kuwakutanisha Mabingwa watetezi Man City watakaokuwa ugenini dhidi ya Leicester City, Haaland anakismati cha kufunga magoli. Hii ngoma itapigwa mapema tu siku ya Jumamosi, Bashiri kupitia Meridianbet
Chelsea ya Graham Potter itakuwa ugenini dhidi ya Brighton kutafuta alama 3 muhimu, huku Brighton wakiwa wanazihitaji alama 3 ili wajiweke sehemu salama zaidi kwenye msimamo wakiwa nafasi ya 9 mpaka sasa. Liverpool nao watakuwa Anfield kukipiga dhidi ya Leeds United. Mechi hizi zimepewa Odds kubwa na machaguo mengi zaidi.
Arsenal wakiwa wanaongoza Ligi mpaka sasa kwenye dimba la Emirates, unadhani wataendeleza ubabe wao walioanza nao msimu huu dhidi ya Nottingham Forest ambao walimnyoa Liverpool wiki iliyopita. Pale Old Trafford boli litatembea wakati United watakapokutana na West Ham, ni Antony na Ronaldo kuwazamisha West Ham? Meridianbet pekee ndiyo mabingwa na sehemu sahihi ya kubashiri.
Ni Jumamosi hiyo hiyo, kwenye Bundesliga Bayern ikiwa na Sadio Mane mchezaji bora namba mbili wa Ballon d’or kwenye dimba la Allianz Arena watakipiga na Mainz Huku Dortmund wakikaribishwa na Frankfurt na RB Leipzig dhidi ya Leverkusen.
Kwenye La Liga utawashuhudia Barcelona ya Xavi watakipiga dhidi ya Valencia huku Sevilla akiwakaribisha Royal Vallecano na siku ya Jumapili Real Madrid watakuwa nyumbani dhidi ya Girona, wakati huo Real Sociedad watakiwasha na Betis.
Napoli na Sassuolo hapatoshi unaambiwa, huku Juventus watapapatuana na Lecce, kule Inter watavaana na Sampdoria na Empoli watamenyana na Atalanta huku Torino wakiwakaribisha Milan. Machaguo zaidi 1000 yapo kwenye mechi hii ukiwa na Meridianbet.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA
0 Comments