MZUKA WA MECHI ZENYE ODDS KUBWA WIKI HII UKO HIVI MERIDIANBET | ZamotoHabari


YULE mtu aliyesema maisha bila soka hayaendi wala hakukosea, ni kweli kabisa mpira ni maisha na maisha ni mpira. Sasa kamata mzuka kamili wa mechi kali wiki hii, mzuka huu umepewa nguvu kubwa na Meridianbet kwa ODDS kubwa.

EPLitaendelea tena kwa michezo kadhaa, macho ya wengi yatakuwa kwenye game ya Chelsea atakaowakaribisha vijana na Eric Ten hag ambao wametoka kuwabagaza Spurs kwa mabao 2-0 na mpira mwingi, ni Jumamosi hii na Meridianbet wamejipaga vizuri kwa kutoa Odds kubwa kwenye michezo ya wiki hii.

Baada ya kulala bila kufunga kwenye mechi dhidi ya Liverpool, Haaland atahitaji kuendeleza kasi yake ya ufungaji wa magoli kwenye kila mechi anayocheza, na sasa Man City atacheza na Brighton ambao wapo kwenye nafasi ya 8 katika msimamo. Bashiri na Meridianbet

Wale jamaa walioweka rekodi yao ya usajili wa wachezaji wengi zaidi kwenye epl msimu huu, Nottingham Forest watakuwa uwanjani kukipiga na vijana na Jurgen Klopp Liverpool ambao gari ni kama limewaka sasa, Nunez kaanza kufunga na kishazoea mazingira ya Uingereza. Unadhani ni Forest au Liverpool kuondoka na matokeo mazuri?. Meridianbet wanajibu swali hili kwa hela, bashiri sasa.

Kwenye Bundesliga Bayern mabingwa watetezi watakuwa ugenini kukipiga na Hoffenheim huku Dortmund watawakaribisha Stuttgart kule kwenye dimba lao la nyumbani Leverkusen watakipiga na Wolfsburg, wakati Augsburg watacheza na Leipzig. Mechi zote hizi zina Machaguo zaidi 1000+ kwenye Meridianbet

Real Madrid watakuwa na kibarua kingine wikiendi hii cha kujibu maswali ya Sevilla pale Santiago Bernabeu ambao watahitaji kuzipata alama tatu ili kusogea kwenye nafasi za juu zaidi mwa msimamo, Valencia watakipiga na Mallorca na Valladolid wakakuwa uwanjana dhidi ya Real Sociedad.

Jumapili nayo ni ya moto, mzuka utakuwa kwenye mechi Arsenal waliouanza msimu huu vizuri kweli, watakuwa ugenini dhidi ya Southampton, wakati Aston Villa waliotoka kuachana na kocha wao Gerrard watakiwasha na Brentford, Spurs watakipiga na Newcastle, huku Barca watakuwa nyumbani kucheza na Athletic club, Roma na Napoli, Lille na Monaco hii ni Serie A wakati Atalanta watacheza na Lazio. Bashiri na Mabingwa


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini