Tayari kwa Uzinduzi! Expanse Studios inakuletea Las Vegas G2E iliyokamilika | ZamotoHabari

ILE kampuni kubwa duniani na maarufu kwa utengenezeji wa games Expanse Studios wanakuja na kitu kipya mjini, mzigo wenyewe ni haujawahi kutangazwa sehemu yeyote ile, ni tukio la uzinduzi wa sloti mpya Zaidi.

Ni wiki chache tu baada ya kushiriki katika Mkutano wa SBC mjini Barcelona, ​​wenye Sloti mpya zaidi, kama Pirate's Power, Magic Wheel na Fortune Farm, iliyozinduliwa upya. Expanse Studios inakamilisha maandalizi ya tukio kubwa la Las Vegas G2E.

Wachezaji mashuhuri duniani wako tayari kwa michezo mipya ya Sloti kutoka Expanse kama vile, Casual card, Roulette na Table games inayopatikana kwa ajili ya kucheza huku kampuni ikiendelea kuenea katika maeneo mapya na kutoa ujuzi muhimu zaidi wa michezo ya kubahatisha.

Tembelea kituo namba 3926 na uweke nafasi ya ofa yako mapema, ya kujihakikishia gharama za chini kabisa, za ujumuishaji na ugavi wa mapato.

Sehemu ya soko la Expanse Studios inakua kwa kasi kutokana na mafanikio ya michezo yake ya sloti, table games, skill na michezo ya Lottery katika Teknolojia ya HTML5, wenye mahusiano na wakusanyaji bora wa sekta hiyo na inayoangazia ofa kabambe kama vile mizunguko ya bure, jackpoti kubwa zinazoendelea na mashindano mengine.

Tuma barua pepe kwa timu ya Expanse Studios kwenda contact@expanse.studio tembelea kituo namba 3926 huko Las Vegas G2E na ujiunge na mtoaji wa kasino mtandaoni anayekua kwa kasi.


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini