KIJANA MTANZANIA ANAEKUJA KWA KASI UCHEZAJI MPIRA WA KIKAPU NCHINI MAREKANI | ZamotoHabari

 

Atiki Ally Atiki ,Mtanzania anayesoma na kucheza Mpira wa Kikapu nchini Marekani katika Chuo Kikuu Cha Brigham Young University katika eneo la Provo,Jijini Utah,katikati ni Mkurugenzi wa Shule ya sekondari ya  High View, Berng Kasika iliyoko Gongo la Mboto Jijini Dar es Salaam,Kulia ni Kocha wa Atiki Mark Pope,Atiki alisoma shule hiyo Hadi kidato Cha pili mwaka 2020 kabla ya Kuhamia Canada na Kisha Marekani.
Mkurugenzi wa Shule ya Sekondari ya High View Berng Kasika kushoto akifurahia jambo na Atiki Ally Atiki ,Mtanzania anayesoma na kucheza Mpira wa Kikapu nchini Marekani katika Chuo Kikuu Cha Brigham Young University katika eneo la Provo,Jijini Utah,katikati ni Mkurugenzi wa Shule ya sekondari ya  High View, Berng Kasika iliyoko Gongo la Mboto Jijini Dar e Salaam Atiki alisoma shule hiyo hadi kidato Cha pili mwaka 2020 kabla ya Kuhamia Canada na Kisha Marekani.
Atiki Ally Atiki ,Mtanzania anayesoma na kucheza Mpira wa Kikapu nchini Marekani katika Chuo Kikuu Cha Brigham  Young  katika eneo la Provo,Jijini Utah,akiwa amesimama katikati ya wanafunzi wa Shule ya sekondari ya  High View,  Gongo la Mboto Jijini Dar es Salaam baada kuzungumza nao alipotembelea shule hiyo ambayo alisoma  hadi kidato Cha pili mwaka 2020 kabla ya Kuhamia Canada na Kisha Marekani.


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini