MTEJA wa Meridianbet kama kawaida wikendi ndo hiyo inanukia ambapo Ijumaa ya leo mechi mbalimbali zinaendelea. Ingia kwenye akaunti yako na usuke jamvi lako sasa.
Ligi kuu ya Hispania LALIGA inatarajiwa kurindima leo kwa mchezo mmoja huku mwenyeji Real Valladolid baada ya kupoteza mchezo wake uliopita atakipiga dhidi ya Mallorca majira ya saa nne usiku. Mechi ya mwisho kukutana walitoa sare ya kufungana. Je leo hii kwa ODDS ya 2.99 kwa 2.65 nani ataibuka mshindi?. Suka jamvi hapa.
Pia SERIE A kutakuwa na kivumbi leo AC Milan chini ya kocha mkuu Paulo Fonseca baada ya kushinda mchezo wake wa Derby, leo atamenyana na Lecce katika dimba la San Siro ambapo Milan anahitaji ushindi ili apande hadi nafasi ya kwanza kutoka ya saba. Mgeni yeye yupo nafasi ya 17 baada ya kukusanya pointi 5 pekee. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 1.35 kwa 7.84. Jisajili hapa.
Je unajua kuwa una leo hii una nafasi ya kuondoka na kibunda mfukoni kwako?. ODDS KUBWA na Machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Vuta mkwanja wako na mechi ya BUNDESLIGA kati ya Borussia Dortmund vs VFL Bochum. Dortmund ametoka kuchezea kipondo cha hatari mechi yake iliyopita, huku mgeni wake akitoa sare ya kufungana. Je vijana wa Nuri Sahin na vijana wake watapata ushindi Signal Iduna Park?. Bashiri mechi hii yenye ODDS 1.24 kwa 9.40.
Machaguo zaidi ya 1000 yapo LIGUE 1 kule Ufaransa kuna mechi mbili za kukata na shoka Ijumaa ya leo mapema saa mbili usiku AJ Auxerre atakiwasha dhidi ya Stade Brest 29 ambaye alishinda mchezo wake uliopita. AJ yupo nafasi ya 16 akikusanya pointi 3 kwenye michezo 5 aliyocheza huku Brest yeye akishikilia nafasi ya 11 na pointi 6. Tamba na ODDS ya 2.74 kwa 2.55. Bashiri hapa.
PSG baada ya kulazimishwa sare ugenini leo atakuwa mwenyeji wa Stade Rennes huku tofauti ya pointi kati yao ikiwa ni 6 pekee. Vijana wa Enrique wanahitaji ushindi leo huku mtanange wa mwisho kukutana kwenye ligi walitoa sare. Mechi hii ina machaguo kibao. Jisajili sasa.
Vilevile unaweza ukatengeneza pesa na mechi za SAUDI ARABIAN LEAGUE ambapo AL-Ittihad FC atakuwa uso kwa uso dhidi ya AL-Khaleej ambaye yupo nafasi ya 13 na mchezo uliopita ametoa sare. Timu hiyo ambayo ipo chini ya kocha mkuu Laurent Blanc wanatka kushinda leo ili wajiweke kwenye nafasi ya kuwania ubingwa. 1.24 kwa 8.82 ndio ODDS za mechi hii. Tandika jamvi lako hapa.
Al Nassr ya Ronaldo wataumana dhidi ya AL Wehda ambao msimu uliopita kwenye mechi mbili walizokutana alichapika jumla ya mabao 9-1. Timu hiyo ambayo kwasasa inanolewa na kocha mkuu Stefan Pioli wanalitaka kombe msimu huu baada ya kulikosa msimu uliopita. 1.09 kwa 14.7 ndio ODDS za mechi hii. Suka mkeka hapa.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA
0 Comments