ONGEZA PESA MFUKONI KWAKO NA MECHI ZA EUROPA LEO | ZamotoHabari

ALHAMISI ya leo ni zamu ya EUROPA LEAGUE ambapo siku mbili tumeshuhudia timu zikichuana vikali kwenye ligi ya mabingwa ambapo ndani ya Meridianbet ODDS ni kubwa na za kibabe sana. Ingia na ubashiri hapa.

Bashiri mechi hii ya mapema kabisa za TSG Hoffenheim vs Dynamo Kyiv kutoka kule Ukrain huku akiwa pia ni kinara wa ligi hiyo akiwa na pointi 19. Mwenyeji yeye pale Bundesliga anashika nafasi ya 16 akiwa na pointi 3 pekee. Meridianbet wmaempa nafasi ya kushinda mwenyeji akiwa na ODDS 2.12 kwa 3.09. Wewe beti yako unampa nani leo? Jisajili hapa.

Muda huo huo Lazio atakipiga dhidi ya OGC Nice ambaye alitoa sare mchezo wake uliopita huku mwenyeji yeye akishinda kwa kishindo. Mechi hii imepewa ODDS 1.97 kwa 3.87. Mechi za mwisho kukutana ilikuwa 2017 na zote Lazio alishinda. Je mgeni atalipa kisasi leo?. Bashiri hapa.

Alhamisi za kuchukua chako na Meridianbet ndio leo?. ODDS KUBWA na Machaguo zaidi ya 1000 yapo kwenye EUROPA LEAGUE leo. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.

Katika dimba la Reale Arena, Real Sociedad atamkaribisha Anderletch kutoka Ubelgiji. Mhispania anatafuta ushindi wake wa kwanza huku mgeni wake anatafuta ushindi wake wa pili. Mwenyeji anapewa nafasi ya kushinda leo kwa ODDS 1.56 kwa 5.88. Suka jamvi lako hapa.

Wakati huo huo, Ferencvaros baada ya kupoteza mechi yake iliyopita leo atamleta nyumbani Tottenham Spurs ambaye alipata ushindi mechi yake ya kwanza. Mwenyeji anakipiga kule ligi ya Hungary huku akishika nafasi ya kwanza lakini leo kushinda kapewa ODDS 5.48 kwa 1.51. Beti yako unaiweka wapi hapa leo?. Jisajili hapa.

Mtanange mwingine ni huu wa Slavia Prague vs Ajax Amsterdam ambapo timu zote zimetoka kushinda mchezo wao wa kwanza, hivyo leo hii kila timu inatazamia ushindi wa pili. Mchezo wa mwisho kukutana ilikuwa 2008 ambapo hakuna aliyekuwa mbabe kati yao. Leo nani kuondoka kifua mbele kwa ODDS 1.78 kwa 4.21. Tandika mkeka wako hapa.

Manchester United chini ya Ten Hag watkuwa ugenini kukipiga dhidi ya FC Porto ambao wanakipiga kule ligi kuu ya Ureno. Timu zote hizi hakuna mbaye ameshinda mechi yake ya kwanza ni sare na kipigo. Meridianbet wamempa Porto nafasi ya kuondoka na pointi 3 leo akiwa na ODDS 2.38 kwa 2.89. Je wewe beti yako unampa nani leo?. Tandika jamvi hapa.

Besiktas Instabul atakuwa uso kwa uso dhidi ya Eintracht Frankfurt ya Ujerumani ambayo ilitoa sare mchezo wake uliopita, wakati mwenyeji akipasuka mechi iliyopta. Mturuki huyu kwenye ligi yupo nafasi ya 3 huku Mjerumani akiwa nafasi ya 2 kwenye ligi. Mechi hii ina ODDS 2.74 kwa 2.40. Jisajili sasa.

Nao AS Roma watakuwa ugenini kumenyana dhidi ya IF Elfsborg ambao hawapigiwI upatu kushinda mechi ya leo wakiwa na ODDS 4.41 kwa 1.75. Roma ametoka kutoa sare mechi yake iliyopita huku mwenyeji yeye akipoteza. Je beti yako unaiweka wapi hapa?. Suka meka wako hapa.

Athletic Bilbao atapasuana dhidi ya AZ Alkmaar ambaye alianza vizuri kwa ushindi. Bilbao ya kule Hispania inahitaji ushindi wa kwanza leo huku mgeni wake kutoka Uholanzi akitaka ushindi wa pili. 1.57 kwa 5.68 ndio ODDS za mechi hii. Bashiri sasa.

Pia Glasgow Rangers baada ya kushinda mechi yake iliyopita, leo atakipoga dhidi ya Lyon ambaye naye pia alishinda. Hivyo hii ni vita ya kusaka pointi 3 za mechi ya pili leo katika dimba la Ibrox. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS 2.50 kwa 2.65. Suka jamvi lako hapa.

Vilevile FC Twente atamenyana dhidi ya Fenerbahce ambayo inanolewa na Mourinho huku mechi yao ya kwanza walipata ushindi kwa shida. Mwenyeji yeye aliambulia sare ya kufungana mechi yake iliyopita. Leo hii pale kwa mabingwa wa ODDS KUBWA meridianbet wamempa mgeni nafasi ya kushinda kwa ODDS 2.35 kwa 2.84. Jisajili hapa.

Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini