WIKI mpya imeanza ndani ya Meridianbet kwani leo hii unaweza ukajipigia mkwanja wako wa maana ukiweka dau lako dogo tuu. Timu kibao zipo uwanjani leo. Ingia na ubashiri sasa.
EPL leo hii Aston Villa atakuwa pale nyumbani Villa Park kukiwasha dhidi ya Brighton ambao wametoka kutoa sare mechi yao iliyopita. Unai Emery na vijana wake wametoka kupigika wakiwa ugenini. Tofauti ya pointi kati yao ni 2 huku Meridianbet wakimpa nafasi kubwa ya ushindi mwenyeji kwa ODDS 2.11 kwa 3.35. Je beti yako unampa nani leo?. Jisajili hapa.
Mechi nyingine ya pesa ni hii ya Ipswich dhidi ya Chelsea ya Enzo Maresca ambao mechi mbili zilizopita wameshindwa kupata pointi 3 kwenye ligi. Wamepata sare na kipigo hivyo ushindi leo hii ni muhimu sana kwao. Mwenyeji yupo nafasi 19 akishinda mechi 2 pekee. Je The Blues leo hii watapata ushindi?. Mechi hii ina ODDS 7.00 kwa 1.40. Bashiri hapa.
Nafasi ya kunyakua kitita cha Milioni unayo leo hii ndani ya Meridianbet kwani odds kubwa na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa. Pia cheza michezo ya Kasino ya mtandaoni kama vile, Poker, Super Heli, Roullette, Aviator, Wild Icy Fruits, Keno na mingine kibao.
Halikadhalika pale Old Trafford kutakuwa na mtanange mkali kati ya Manchester United vs Newcastle United ambao walishinda mechi yao iliyopita. Mashetani Wekundu walipigika ugenini. Leo hii Amorim na vijana wake wanahitaji ushindi leo hii mbele ya vijana wa Eddie Howe. 2.65 kwa 2.65 ndio ODDS za mechi hii. Suka jamvi hapa.
Ligi nyingine ambayo itaendelea leo hii ni SERIE A ambapo Como 1907 atamleta kwake US Lecce ambapo timu hizi zinafutana kwenye msimamo wa ligi. Yaani mwenyeji ni wa 16 na mgeni wake ni wa 15 huku wakitofautiana pointi 1 pekee. Nani kuondoka na ushindi wa maana leo hii?. Meridianbet wanampendelea mwenyeji kuondoka na pointi zote 3 kwa ODDS 1.75 kwa 5.20. Beti yako unaiweka wapi hapa?. Jisajili hapa.
Naye Bologna FC atakuwa akisaka ushindi dhidi ya Hellas Verona ambao wapo nafasi ya 17 kwenye msimamo wa ligi wakiwa na pointi zao 15 pekee. Mwenyeji yeye yupo nafasi ya 7 wakiwa na pointi zao 28. Kila timu inahitaji ushindi isonge mbelel. Bashiri mechi hii yenye ODDS 1.49 kwa 7.00.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA
0 Comments