Galatasaray Yazidi Kukaa Kileleni | ZamotoHabari


LIGI kuu ya Uturuki ni moja ya ligi pendwa sana hapa Ulimwenguni kwani imekuwa ikitoa matokeo ya ajabu inapokutana na timu zingine na kufanya watu wengi kuifatailia. Je msimu huu mpaka sasa wapo wapi?

Klabu hii ya Galatasaray ni moja ya klabu zenye historia kubwa na ushawishi mkubwa ndani ya Süper Lig, na msimu huu wameendelea kuthibitisha kwa nini wanahesabika kama miamba ya soka la Uturuki.

Timu hiyo ambayo ipo chini ya kocha mkuu Okan Buruk mpaka sasa wapo nafasi ya kwanza kwenye msimamo wa ligi wakikusanya pointi 64 kwenye mechi 26 ambazo wamecheza huku wakiwa pointi 4 nyuma kwa anayemfuata kwenye nafasi ya 2 ambaye ni Fenerbahce. Jisajili na ubashiri na Meridianbet leo.

Kikosi cha Galatasaray kimejaa mchanganyiko wa uzoefu na ubora wa hali ya juu, hasa katika safu ya ushambuliaji. Wachezaji kama Mauro Icardi wamekuwa na mchango mkubwa kwa uwezo wao wa kufunga mabao katika nyakati muhimu, huku uwepo wa mshambuliaji hatari kama Victor Osimhen ukiongeza makali na kasi mbele.

Ushirikiano wao unaleta hofu kwa mabeki wa wapinzani na kuwapa Galatasaray uwezo wa kumaliza mechi kwa ufanisi mkubwa. Pembeni, ubunifu na kasi vinaongeza nguvu ya mashambulizi, hali inayowafanya kuwa moja ya timu zinazovutia zaidi kushambulia katika ligi yao.

Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Timu hii inatumia uwanja wa Rams Park ambao hujaza mashabiki wa kuipa sapoti timu hiyo ikiwa nyumbani lakini pia kusafiri na timu kwaajili ya kuwapatia motisha ndio kitu ambacho huwafanya kuw atimu bora huko Uturuki.

Ukiachana na ubora huo wa kwenye ligi, kubwa inaonekana wazi wanaposhiriki mashindano ya Ulaya, hasa UEFA Champions League. Ingawa waliingia kwenye mashindano hayo wakiwa na matumaini makubwa na wakionyesha ushindani mzuri katika baadhi ya hatua, safari yao ilikumbana na ukuta mgumu walipokutana na Liverpool FC kutoka kule Uingereza hasa kwenye mkondo wa pili.

Mechi ya mkondo wa kwanza waliingia uwanjani wakijiamini kwa kiasi kikubwa na kufanikiwa kupata ushindi kwa bao 1-0, hivyo walisafiri kwenda Anfield kwenye mechi ya marudiano wakiwa na mtaji wa goli moja.

Dakika 90 za mkondo wa pili ziliamuru kuwa Galatasaray hawatakiwa kuendelea na michuano hiyo ya UEFA kwenye hatua ya Robo Fainali kwani wlaipoteza kwa bao 4-0 na kufanya aggregate kuwa (4-1).

Kwa ujumla, msimu wa Galatasaray unaweza kutafsiriwa kwa sentensi moja mabayo ni mafanikio ya ndani, lakini mafunzo makubwa Ulaya. Wakiwa ndani ya Uturuki, ni timu inayotawala na kujiamini, lakini wanapotoka nje wanakutana na ukweli mwingine wa soka la kiwango cha juu zaidi.

Ikiwa wanataka kubadilika na kuwa washindani wa kweli barani Ulaya, wanahitaji kuongeza zaidi ya ubora wa wachezaji wanahitaji uzoefu wa mechi kubwa, kina cha kikosi, na uimara wa kiakili. Hadi hapo, wataendelea kuwa mabingwa wa ndani wenye heshima kubwa, lakini bado wakisaka nafasi yao miongoni mwa wakubwa wa soka la Ulaya.

Je msimu huu Galatasaray licha ya kuongoza ligi huko Uturuki wanaweza kubeba taji la SUPER LIG?. Meridianbet inakupa nafasi ya kumiliki pesa leo ingia kwenye akaunti yako na ubashiri leo.


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini