Mapinduzi ya Carrick Old Trafford: Je, United Watarudi Champions League? | ZamotoHabari


KLABU ya Manchester United msimu huu kwenye ligi kuu ya EPL imekuwa nit imu ambayo imeweza kujiwekea historia mabayo hata wao wenyewe walikuwa hawaidhanii kwa msimu ya hivi karibuni mara tu baada ya kuwa na mwendelezo wa matokeo hayaridhishishi kwa misimu miwili mfululizo iliyo malizika.

Mashetani hao wekundu walikuwa na nyakati nzuri tangualipo wasili msimu wa 2022-2023 kocha raia wa uholanz Erik Ten Hag na kuiwezesha timu hiyo kuwa kwenye muundo mzuri wa kiuchezaji nakupelekea kutwaa mataji mawaili ya Carrabao cup na kombe la FA cup. Pia waliweza kushiriki kwenye ligi ya mabingwa ulaya.

Lakini alishindwa kuendeleza ubora amabao alianza nao pindi alipokabidhiwa mikoba ya kuinoa klabu hiyo hali iliyo pelekea klabu hiyo kupata matokeo yasiyo ridhisha. Lakini msimu wa 2023-2024 viongozi wa klabu hiyo pendwa zaidi Duniani waliamua kumfuta kazi na macho yao yalikuwa kwa aliyekuwa kocha Sporting CP ya Ureno Ruben Amorim ambapo alikuwa na wakati wa kukisuka kikosi hicho upya na kupelekea kufika fainali ya Europa league ambapo walipoteza bao 1-0 mbele ya Tottenham Hotspurs.jisajili sasa

Licha ya mafanikio hayo ambayo Amorim lisababisha Man united kuwa nayao lakini kiwango cha wacheazaji kikazid kuporomoka na timu kuwa haina mvuto kwa mashabiki wake mara tu baada ya kuwa na desturi ya kupoteza michezo yao mara kwa mara hasa pindi walipokutana na vigogo wenzao kama Manchester city na Arsenal ambapo ilikuwa wanachukua alama zote tatu msimu huu kweye raundi ya kwanza.

Kwenye dirisha dogo la usajili msimu huu Manchester united iliweza kuwaongeza nyota kama Matius Cunha, Bryan Mbeumo, Benjamin Sesko ambao kwa Pamoja wameweza kuunda ushirikiano na wachezaji wengine kama Bruno Fernandez, Hamad Dialo, Joshua Zirkzee kwenye eneo la ushambuliaji. Jisajili sasa

Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au kwa wa vitochi piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Hata hivyo baada ya matokeo ya sare ya 1-1 waliyoipata dhidi ya leeds. Amorim rasmi akaachana na klabu hiyo yenye maskani yake kwenye jiji la Machester na timu ikawa chini ya kocha wa muda na aliye kuwa mchezaji wa kikosi hicho Fletcher Darren ambapo aliisimamia timu kwenye michezo miwili mmoja ni ule wa FA CUP wa hatua ya 32 bora ambapo Man united alipoteza kwa 2-1 dhidi ya Brighton nakutolewa kwenye michuano hiyo mchezso wa pili ambao kocha Fletcher ali usimamia niule wa dhidi ya Bunley uliomalizika kwa sare ya 2-2.

Kutokana na hali hiyo viungozi wa man united wakaona ipo haja ya kumtafuta Mwalimu mwengine ambaye ataweza kuja kuinusuru timu hiyo, ndipo wakalitaja jina la aliyekuwa nyota wao Michael Carrick ambaye alikuwa akiino timu ya Middlesbrough ya nchini humo iliyopo championship.

Ujio wa Carrick umeongeza hali kwenye kikosi hicho tangu kwenye mchezo wake wa kwanza dhidi ya Manchester city na kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 licha ya ushindi huo Man united walikuwa na kiwango bora dakika zote 90, Timu hiyo ikaja ikpata ushindi wa pili mfululizo dhid ya Arsenal 3-2 na kupelekea klabu hiyo kupata ushindi mechi nne mfululizo 3-2 dhidi ya Fulham,2-0 dhidi ya Tottenham.

Carrick tangu afike Manchester united amefanikiwa kushinda mechi 7 sare 2 dhidi ya West ham united 1-1 na 2-2 dhidi ya Bournemouth nakupoteza mchezo mmoja 2-1 dhidi ya Newcastle united, kufuatia takwumu hizo zilizowekwa na Carrick Man united wamefanikiwa kufika nafasi ya tatu akiwana alama 55 juu ya Aston Villa mwenye alama 54 na Liverpool mwenye alama 49.

Kutokana na michezo iliyosalia ya Man united inawza kukupa Maokoto, kwani Watoa Mkwanja wametoa odds Mzigo unakosaje utajiri sasa?

Kutokana na hali ya msimamo wa ligi kuu ya EPL Manchester united ana nafasi kubwa ya kushiriki michuano ya ligi ya mabingwa ulaya endapo ataweza kuibuka na ushindi kwenye michezo yake saba iliyo baki, ikumbukwe Mana united ana mchezo dhidi ya Leeds united, Chelsea ugenini, Brentford na Liver pool Nyumbani, Sunderland ugenini, Nottingham forest nyumbani na mchezo wa mwisho wa ligi kuu ya EPL utakuwa dhidi ya Brighton.

Kutokana na kiwango cha wachezaji wa Manchester united kuwa juu, je wataweza kuifanya timu hiyo kuweza kushiriki kwenye michuano mikubwa ya Ulaya chini ya kocha wa muda Michael Carrick?

Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini