Dortmund Uso kwa Uso vs Bayer Leverkusen | ZamotoHabari


MBILINGEMBILINGE za ligi kuu ya BUNDESLIGA kule Ujerumani zitaendelea ambapo mechi ya kufa na kupona ni hii inayowakutanisha kati ya Borussia Dortmund vs Bayer Leverkusen. Je nani kuibuka na ushindi siku ya leo?

Hii ni mechi ambayo inzikutanisha timu mbili ambazo zipo kwenye kupambania nafasi za juu yaani Borussia Dortmund dhidi ya Bayer Leverkusen ambapo tofauti yao mpaka sasa kwenye ligi ni 15.

Dortmund yupo kwenye mbio za kuwania nafasi ya 2 kwenye msimamo wa ligi kwani ni vigumu sana kwake kuipata nafasi ya kwanza kutokana na pointi ambazo ameachwa na kinara wa ligi. Wakati kwa upande wa Leverkusen yeye yupo nafasi ya 6 huku malengo yake ya kushiriki michuano ya Mabingwa yakiwa yanazidi kupotea siku hadi siku.

Borussia Dortmund wanajulikana kwa kucheza kwa nguvu wakiwa nyumbani, wakitumia kasi ya wachezaji wao wa mbele na presha ya mashabiki kushambualia zaidi. Wanatengeneza nafasi nyingi, lakini mara nyingi wanakuwa na udhaifu mkubwa kwenye ulinzi, hasa wanapokutana na timu zinazoweza kushambulia kwa haraka.

Pesa kubwa ipo kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Kwa upande wa Bayer Leverkusen, wamekuwa na mwenendo bora zaidi na uthabiti mkubwa. Wanacheza soka la kisasa lenye pasi za haraka, movement nzuri, na ufanisi mkubwa mbele ya lango. Tofauti na Dortmund, wao wana uwiano mzuri kati ya ushambuliaji na ulinzi, jambo linalowafanya kuwa hatari zaidi.

Takwimu zinaonesha kuwa mara ya mwisho kukutana kwenye ligi BVB waliondoka na ushindi ugenini, hivyo safari hii wapo nyumbani je watendeleza ushindi au Leverkusen watawazuia?. Jisajili hapa na ubashiri mechi hii sasa.

Lakini pia kule Uingereza EPL itaendelea kwa mechi nyingine na leo tunajikita kwenye mechi ya Liverpool dhidi ya Fulham huku hii mechi ikitarajiwa kupigwa pale Anfield na ni mechi ambayo inasubiriwa kwa hamu na mashabiki wote Duniani.

Hii ni mechi ambayo vijana wa Arne Slot wanaihitaji sana baada ya kupoteza mechi ya ligi iliyopita na mechi zingine zilizofuata kwani wanahitaji kumaliza ndani ya timu 5 za juu ili waweze kushiriki michuano ya UEFA.

Liverpool wamekuwa na mwenendo usio thabiti katika mechi za hivi karibuni. Wameonyesha kushuka kwa kiwango hasa kwenye kumalizia nafasi wanazopata, kulinda matokeo endapo wakiongoza na hiyo inawafanya wadondoshe pointi kwenye mechi zao.

Kwa upande wa Fulham, ingawa si timu kubwa, wamekuwa wakiwasumbua sana timu zenye majina makubwa. Wanacheza kwa nidhamu, wanajipanga vizuri nyuma, na wanajua kutumia makosa ya wapinzani. Tofauti na Liverpool kwa sasa, Fulham wanaonekana kuwa wanajituma, wanatumia nafasi zao vyema pia.

Hii inaifanya mechi hii kuwa hatari kwa Liverpool, kwa sababu Fulham hawatafunguka kirahisi watasubiri makosa, na Liverpool wamekuwa wakifanya makosa mengi. Hivyo Slot ana nafasi ya ziada ya kufanya kwani kibarua chake mpaka sasa kinazidi kuota nyasi kutokana na haya matokeo.

Je nani anaweza akaondoka na ushindi pale Anfield?. Odds kubwa zinakungoja siku ya leo, ingia kwenye akaunti yako na usuke jamvi lako la ushindi na Meridianbet siku ya leo huku ukisubiri kutanagzwa mshindi leo.


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini