Je Wolves Ataweza Kusalia EPL? | ZamotoHabari

KULE Uingereza, ligi kuu inaendeleza kupamba moto huku baadhi ya timu zikiwa zinapigania nafasi ya kubakia kwenye ligi huku zingine zikiwa zinataka nafasi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa.

Ijumaa ya leo kule EPL kuna mechi kali kati ya West Ham United dhidi ya Wolves ambapo wenyeji wamekuwa na mwenendo usioridhisha ukilinganisha na matarajio ya mashabiki wao. Katika mechi zao kadhaa za hivi karibuni, West Ham wameonekana kumiliki mpira kwa kiwango kizuri lakini wakishindwa kabisa kubadili umiliki huo kuwa mabao huku mpaka sasa wakiwa nafasi ya 18.

Kwa upande wa Wolves wao mpaka sasa ndio vibonde wa ligi huku ikiwa ni timu ambayo inapewa asilimia kubwa kushuka daraja kwani mpaka sasa wana pointi 17 kwenye mechi 31 za ligi ambazo wamecheza hadi sasa. Hata wanapocheza nyumbani, ambako walitarajiwa kuwa na nguvu zaidi, wamekuwa wakipoteza pointi muhimu kutokana na kushindwa kulinda matokeo au kushindwa kufunga mabao ya ushindi.

Tofauti yao mpaka sasa ni pointi 12 lakini kule Meridianbet wao wanampa nafasi kubwa ya kushinda mwenyeji kutokana na faida ya kuwa numbani. Lakini pia ni mechi ya kulipa kisasi kwa wenyeji kwani mechi ya kwanza wlaipokutana Wagonga Nyundo wa London walipoteza mechi hii.

Pesa kubwa ipo kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Kutokana na hali mbaya ambazo zinapitia timu hizi, kila timu ina uwezekano wa kupata matokeo siku ya leo endapo ikichanga karata zake vyema. Je nani unampa asilimia kubwa ya kushinda siku ya leo?. Kwani Wolves ili abaki kwenye ligi inabidi ashinde mechi zake zote.

Vilevile kule Hispania kutakuwa na mechi moja ya LALIGA kati ya Real Madrid vs Girona ambao mpaka sasa wanashikilia nafasi ya 12 kwenye msimamo wa ligi wakati vijana wa Arbeloa wakiwa nafasi ya 2.

Real Madrid wamepoteza mechi ya ligi iliyopita ugenini na sasa wapo Santiago Bernabeu kusaka ushindi ili kukimbizana vyema kwenye mbio za ubingwa. Hii ni mechi ambayo Real wanahitaji ushindi kwani mpaka sasa wamepoteza mechi mbili mfululizo kwenye mashindano yote.

Girona ni timu ambayo pia haieleweki kwenye ligi inaweza kupata matokeo muda wowote lakini wanakutana na Madrid ambao wametoka kujeruhiwa kwenye mechi zao mbili hivyo ni mechi ngumu sana kwa upande wao.

Si hivyo tu bali wanakutana na Real ambao wana mechi ngumu katikati ya wiki ya Ligi ya Mabingwa kule Allianz Arena Ujerumani hivyo huenda mechi hiyo wakaitilia maanan sana kwani ni muhimu kwao kufuzu hatua ya Nusu Fainali.

Mechi ya kwanza kukutana kwenye ligi msimu huu hakuna ambaye alikuwa mbabe kati yao, na sasa ni pointi 3 ambazo zinagombaniwa na timu hizi mbili. Meridianbet wameipa mechi hii ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000. Ingia na ubashiri mechi hii sasa.

Vijana wa Arbeloa wanahitaji kushinda nyumbani kwao ili kuweka kujiamini zaidi kuelekea mchezo wao unaofuata kwani pia mbio za ubingwa wa LALIGA ni muhimu sana kwao kufuatia kupoteza mechi yao iliyopita.

Wana wachezaji wenye ubora mkubwa akiwemo, Vini JR, Mbappe, Mastantuono, Camavinga na wengine ambao kwa pamoja wanashirikiana vyema kupambania timu hiyo iweze kufanya vyema.


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini