Bournamouth Kwenye Vita ya Kushiriki Michuano ya Ulaya mbele ya Crystal Palace | ZamotoHabari


JIONI ya leo majira ya saa 16:00 kwenye mchezo wa ligi kuu ya Uingereza kati ya Bournemouth wanaoingia mechi hii wakiwa kwenye nafasi ya 7 kwenye msimamo wa EPL, wakiwa na pointi 49, huku Crystal Palace wakiwa nafasi ya 13 na pointi 43.

Kwa timu zote mbili, hakuna tishio la kushuka daraja wala nafasi ya japokuwa Bournamouth wana nafsi ya kushiriki michuano ya Ulaya, hivyo mechi hii inatazamwa kwa upekee. Bournemouth wanatafuta ushindi wa nyumbani ili kujihakikishia nafasi ya kushiriki michuano ya ulaya msimu ujao, huku Palace wakitaka kumaliza kwenye nafasi nzuri.

Mechi itapigwa Uwanja wa Vitality huko Bournemouth, Makocha wote wawili, Andoni Iraola (Bournemouth) na Oliver Glasner (Palace), wanapenda mtindo wa kushambulia kwa mipira ya kasi na kutumia nafasi za pembeni. Iraola atamtegemea kiungo mchapakazi Scott Alex kudhibiti kiungo cha kati, huku Glasner akimwekea jukumu la kuunganisha mashambulizi Lerma Jefferson, ambaye anaweza amekuwa bora na kuchangia usaidizi wa mabao 3 na ubunifu. Jisajili

Bournemouth watawakosa nyota wake Soler Julio na Cook Lewis hivyo watajitahidi kupitia Enes Ünal na Justin Kluivert kutokea pembeni. Kwa upande wa Palace, Jean-Philippe Mateta (mwenye mabao 10 msimu huu) yuko sawa na anatajwa kusumbua ulinzi wa Bournemouth, lakini wachezaji watakao kosekana wa Palace ni Guessand Evann na Nketiah Eddie (wenye majeraha)

Ingia kwenye kasi ya kujishindia pesa kwenye michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Kwenye michezo mitano iliyopita kati ya timu hizi Ligi Kuu, Bournemouth wameshinda mara mbili, Palace mara moja, na sare mbili. Msimu huu (Desemba 2025) walichapana bao 1-1 kwenye uwanja wa Selhurst Park. Bournemouth hawajawafunga Crystal

Palace nyumbani tangu mwaka 2019, hivyo hii ni nafasi yao ya kuvunja ukame. Palace wamekuwa imara ugenini msimu huu, wakiwa wameshinda dhidi ya Brentford na Wolves, hivyo wanaamini waweza kuchukua angalau pointi moja kutoka Vitality. Jisajili.


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini