Je Nani Kuchukua Pointi 3 Leo? | ZamotoHabari


JUMAMOSI ya kutimiza ndoto huenda imefika leo kwani mechi za kuhakikisha huondoki patupu kuchezwa leo. Kule Uingereza, Hispania na Italia kutawaka moto. Ingia kwenye akaunti yako na uanze safari yako ya ushindi.

Leo hii tutaanza kuangazia mechi ya ligi kuu ya SERIE A kule Italia kati ya Como 1907 dhidi ya Napoli ambao ni mabingwa watetezi wa ligi hiyo. Tofauti yao hadi sasa kwenye ligi ni 8 pekee huku kila timu ikihitaji ushindi mnono siku ya leo.

Como chini ya kocha mkuu Fabregas imekuwa timu ambayo inaogopwa sana kwani imekuwa na kiwango kikubwa huku ikitafuta nafasi ya kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa msimu ujao. Wakati huo huo vijana wa Conte wao wamekuwa na matokeo ambayo hayatabiriki kwani haijulikani ni lini na wapi wataangusha pointi.

Ni suluhu ndi ilipatikana kwenye mechi ya mwisho kukutana, lakini kwa upande wa wenyeji huu ni mchezo ambao wanauchukulia kwa jicho tofauti sana kwani nafasi za 4 ni ngumu na zinawaniwa na timu nyingi. Je nani unampa nafasi ya kushinda siku ya leo? Bashiri hapa leo.

Tengeneza mkwanja kupitia michezo ya Kasino ya Mtandaoni kama vile, Keno, Aviator, Poker, Roulette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Vilevile ligi kuu ya Uingereza EPL, nayo kuna mechi kibao lakini sisi tutajikita zazidi kwenye mechi ya vinara wa ligi Arsenal dhidi ya Fulham ambapo hii ni moja ya mechi muhimu sana kwa vijana wa Mikel Arteta kwenye kuwania mbio za ubingwa pale Uingereza kwani presha ni kubwa sana kwao.

Arteta na vijana wake wako juu kwa pointi 3 dhidi ya anayeshika nafasi ya pili, hivyo ushindi kwenye mechi hii ni muhimu sana ili wazidi kujiweka juu kwenye msimamo wa ligi. Fulham wao mpaka sasa wapo nafasi ya 10 hivyo ameshajiondoa kwenye nafasi mbaya kwenye msimamo wa ligi.

The Gunners wana wachezaji wenye uwezo mkubwa wa kupata matokeo kwenye hii mechi ya leo ambayo inaweza kuwa ngumu kwao kwani tunawajua wapinzani wao ni wasumbufu sana linapokuja suala la kucheza dhidi ya timu kubwa. Je nani kushinda siku ya leo?. Suka jamvi hapa.

Na kule Hispania, LALIGA zipo mechi nyingi lakini Meridianbet itatatzama mechi ya vinara wa ligi FC Barcelona ambao watakuwa ugenini kumenyana vikali dhidi ya CA Osasuna ambao wanshika nafasi ya 9 kwenye msimamo wa ligi wkaiwa na pointi zao 42 hadi sasa.

Vijana wa Hans Flick wanahitaji ushindi siku ya leo ili wazidi kujikita kileleni kwenye msimamo wa ligi watetee taji lao. Lakini pia wenyeji wanahitaji ushindi huu kwa hali na mali huenda ikawafanya wajiweke sawa kwenye mbio za kushiriki michuano ya Ulaya ikiwemo Europa League.

Mechi ya mkondo wa kwanza walipokutana, Hans Flick na vijana wake waliondoka na ushindi bila kuruhusu bao lolote. Je wenyeji siku ya leo wanaweza kulipa kisasi? ODDS KUBWA zipo kwenye mechi hii ya leo lakini bila kusahau machaguo zaidi ya 1000.

Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini