
MERIDIANBET imezidi kupanua ukubwa wake duniani kwa kumtangaza staa wa soka la Brazil na Serbia, Dejan Petković maarufu kama “Pet”, kuwa Global Brand Ambassador mpya wa kampuni hiyo. Hii ni hatua kubwa inayowaonyesha mashabiki wa michezo kuwa Meridianbet haipo tu kwenye ubashiri, bali pia kwenye burudani na maisha ya kisasa kwa wanaopenda ushindi.
Kwa mashabiki wa soka waliokua wakisikia stori za Flamengo, Vasco da Gama na magoli ya faulo yasiyosahaulika, jina la Pet ni sehemu ya historia hiyo. Sasa kupitia ushirikiano huu, Meridianbet inaleta nguvu mpya kwa watumiaji wake kupitia Pet TV, jukwaa jipya litakalobeba mastori ya michezo na burudani kuelekea Kombe la Dunia 2026.
Vilevile, meridianbet wana michezo mingi ya kasino mtandaoni na mechi za kimataifa za kubashiri zenye ushindani mkubwa wa odds. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya MERIDIANBET au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.
Petković mwenyewe amesema Meridianbet na yeye wana historia moja ya kupambana na kufika mbali kimataifa. Kauli hiyo imegusa wengi kwa sababu inaonyesha namna ndoto kubwa zinavyoweza kutimia kupitia juhudi. Kwa sasa Meridianbet inaendelea kuwa sehemu ya vijana wengi wanaopenda odds kali, ushindi mkubwa na burudani ya kiwango cha juu.
Mbali na ujio wa Pet, Meridian Holdings imeendelea kufanya vizuri kimataifa baada ya kuripoti mapato makubwa zaidi kuwahi kutokea mwaka 2026. Hii inaonyesha wazi kuwa Meridianbet inaendelea kukua kwa kasi na kuwekeza zaidi kwenye ujuzi wa watumiaji wake duniani kote.
Kama wewe ni mpenzi wa mpira, burudani na ushindi wa kweli, basi Meridianbet imekuletea kitu kikubwa zaidi ya ubashiri. Kupitia Pet TV na ushirikiano huu mpya, mashabiki watapata nafasi ya kuona upande mwingine wa michezo unaochanganya tamaduni, burudani na msisimko wa ushindi. Jiunge sasa Meridianbet na uwe sehemu ya safari hii mpya ya kimataifa.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA



0 Comments