ZIMEBAKI siku chache sana kuelekea michuano mikubwa ya Kombe la Dunia 2026 ambayo inatarajiwa kuanza June 11 huku baadhi ya timu zikipewa nafasi kubwa ya kushinda taji hili. Je nafasi hii unampa nani?

Timu ya kwanza inayopewa nafasi ya kushinda Kombe la Dunia na Meridianbet ni Hispania ambayo mpaka sasa imepewa ODDS 5.50 kujipatia kombe hili. Chini ya kocha mkuu Luis de la Fuente, Hispania imekuwa ni timu yenye ubora wa hali ya juu. Kikosi kizru cha wachezaji wenye ubora akiwemo Lamine Yamal, Pedri, Gavi, Williums wamekuwa tishio kwa mabeki wa timu pinzani.

Changamoto yao kubwa itakuwa kutumia nafasi wanazotengeneza na kukabiliana na presha ya hatua za mtoano dhidi ya mataifa makubwa akiwemo bingwa mtetezi Argentina, Ufaransa, au Brazil

Je mabingwa hawa wa Kombe la Euro wanaweza kushinda taji hili?. Tengeneza pesa kwenye michuano hii ya Kombe la Dunia inayotarajiwa kuanza siku chache zijazo.

Piga pesa leo kwenye michezo ya kasino ya mtandaoni kama vile Keno, Aviator, Poker, Roullette, Wild Icy Fruits, Super Heli na mingine kibao. Jiunge leo kwa kutembelea tovuti ya meridianbet.co.tz au piga *149*10# kisha uanze safari yako ya ushindi.

Nafasi ya pili ya kuchukua Kombe la Dunia inaenda kwa Ufaransa ambao pia ni wanafainali wa 2022. Hii ni timu ambayo imejengwa na ubora mkubwa chini ya kocha mkuu Didier Deschamps ambaye ana uzoefu mkubwa kabisa kweye mashindano haya baada ya kucheza fainali mbili mfululizo yaani 2018 na 2022. Suka jamvi hapa.

Timu hii ina mchanganyiko wa nyota wenye uzoefu na vipaji vya kizazi kipya. Wakiwa na wachezaji kama Kylian Mbappé, Ousmane Dembélé, Desire Doue, Aurélien Tchouaméni, William Saliba na wengine wengi kama kina Barcola ambao wanatarajiwa kukipa kikosi nguvu zaidi.

Ufaransa wana timu bora kabisa ambayo inaweza ikapambania Kombe hili kabisa kwani wana wachezaji wenye nguvu, kasi, kujituma na uthabiti. ODDS KUBWA ya 6.00 inakungoja hapa. Jisajili sasa.

Nao Uingereza ni Taifa lingine ambalo linapewa nafasi ya tatu na wakali wa ubashiri Tanzania Meridianbet kushinda taji hili kwa ODDS 7.00 kwani mpaka sasa chini ya kocha mkuu Thomas Tuchel timu hiyo imeimarika sana na inahitaji kukata ukame huo toka mwaka 1966.

Wakiwa na nyota kama Harry Kane, Bukayo Saka, Declan Rice, Eze na wengine inawapa nafasi ya kuwa moja ya timu za kushindania taji hili. Uingereza wana uwezo wa kushambulia kwa njia mbalimbali na kuamua mechi kupitia ubunifu wa viungo na ukali wa washambuliaji wao.

Lakini changamoto kubwa kwa timu hiyo imekuwa kutafsiri ubora wa kikosi kuwa mafanikio katika mechi za hatua za mwisho. Mara nyingi wamekuwa wakifika mbali kwenye mashindano makubwa lakini wakishindwa kuvuka kizingiti cha nusu fainali au fainali. Je unadhani kwa kikosi ambacho Tuchel amekiita anaweza akafika nacho Fainali?. Timu hii imepewa Odds 7.00 kushinda taji hili. Jisajili sasa.

Bingwa mtetezi wa Kombe hili Argentina naye yupo kwenye timu 5 ambazo zinapewa nafasi ya kushinda kombe hili. Ikumbukwe kuwa nguvu ya Argentina haipo tu kwenye majina makubwa ya wachezaji wao, bali pia katika umoja, nidhamu na uzoefu walioujenga kwa miaka kadhaa chini ya kocha Lionel Scaloni. Kikosi hiki kina mchanganyiko wa nyota wenye uzoefu kama Lionel Messi, Lautaro Martínez na Rodrigo De Paul pamoja na kizazi kipya chenye vipaji kinachoendelea kuchukua nafasi muhimu.

Je chini ya Lionel Scalon Messi na Argentina yek wanaweza kutetea taji lao msimu huu. Bashiri timu hii kuchukua ubingwa pale Meridianbet kwa Odds 9.00 na uwe mshindi wako leo.

Na timu ya 5 inayokamlisha zile Top 5 ni Brazil ambao mara ya mwisho kuchukua Kombe hili ilikuwa ni mwaka 2002 na kufanya wawe na makombe matano hadi sasa. Brazil bado ni taifa lenye historia kubwa zaidi kwenye mashindano haya, na nguvu yao kubwa ipo katika ubora wa wachezaji wa kushambulia.

Pia wana wachezaji wenye uwezo kama Neymar, Vinícius Júnior, Raphinha Marquinhos, Bruno Guimarães, na wengine wengi. Chini ya kocha mkuu Carlo Ancelotti wanatarajiwa kufanya vyema. Lakini je bado wana timu yenye uwezo wa kupambana na timu zenye ubora kwasasa. 9.00 ndio Odds za timu hii kubeba ubingwa. Beti sasa.


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA