KUTOKUWEPO kwa Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba, katika msimu huu wa tamasha la muziki la Tigo Fiesta, kumeelezewa na mtangazaji mkongwe nchini, Gadner G. Habash, kuwa ni pengo kubwa.
Kwa muda wa miezi kadhaa Ruge amekuwa akipata matibabu kutokana na matatizo ya figo na sasa yuko nchini Afrika Kusini. Clouds Media Group ndiyo wanaoendesha tamasha hilo linalodhaminiwa na kampuni ya mawasiliano ya Tigo.
Sponsored by ZAMOTO MEDIA
0 Comments