Baada ya kuwa na figisu nyingi sana hasa kuhusu matamasha yanayoendelea nchini yaani fiesta inayoendeshwa na Clouds media na lile la Wasafi Festival ambayo imeacha tension kubwa sana katika pande hizo mbili , watu wamekuwa wakichokonoa mambo mbalimbali na kufikia hatua ya kusema kuwa inawezekana hata wasafi tv ni ya Clouds Media pia.
kwa evidence zilizotolewa zinasema kuwa jina la roots ya wasafi tv ni kutoka Clouds Media hivyo inawezekana kuwa bosi wa Clouds ndio bosi wa wasafi hiyo wawili hao hawakupaswa kuwa na ushindani na kurushiana madongo kwa kiais hiki.
katika moja ya page ya udaku ya shilawadu ambacho ni moja ya kpindi kinachorushwa na clouds mdia waliandika “inasemekana kuwa picha hii ilipigwa siku moja ndugu zetu walipokuwa studio wakifunga mitambo na mafundi wetu, satelite ilisajiliwa na kwa jina la clouds na tv yenyewe ni hii…..jifanye unajikuna…tusitoane damu bure wakati sisi wote ni vidampa tu …Bosi wetu ni mmoja …TABUIKOPALEPALE.”
Sponsored by ZAMOTO MEDIA
0 Comments