Star wa Pop nchini marekani Post Malone aliyewahi kufanya vizuri na AlbAamu yake ya Beerbongs & Bentleys ambayo inafanya vizuri ndani ya kumi bora za albamu kwenye Billboard 200, ametangaza ujio mpya wa Project kabla ya mwaka kuisha.
Ametoa taarifa hizo kupitia akaunti yake ya Tweeter amendika, “Trying to put out a new body of work before the end of the year but we all know how that goes wish me luck k”
Ngoma mbili ambazo zilitokea kupenya kila nchi na kumfanya Post Malone atambulike na hizo nyimbo kukaa kwenye chart za Billboard Hot 100 ni Rockstar ambayo amemshirikisha Rapa 21 Savage na Better Now.
Sponsored by ZAMOTO MEDIA
0 Comments