Gigy Money Awapa Awafunda Wanawake Wanaotamani Kuwa na Mtoto "Zaa Ukiwa Tayari Sio Kisa Fulani Kazaa"

Gigy Money Awapa Awafunda Wanawake Wanaotamani Kuwa na Mtoto "Zaa Ukiwa Tayari Sio Kisa Fulani Kazaa"
Video vixen na msanii wa muziki wa Bongo fleva Gift Stanford maarufu kama Gigy Money ametumia ukurasa wake wa instagram kuwafunda wadada wanaotaka kuzaa kisa kumuona mtu fulani bila kujipanga kimaisha.

Hiki ndicho alichoandika:

Morning Free Style (NIMEKWIVAAA) Wadogoo Zangu zingatieni Hayo mana mimba za utotoni Nyingii Na ma dingi wanakimbia daily Watoto zao msidanganyike Na insta (eti gigy navokuona ww umezaa Natamanii kumzalia Boy Wanguu. My girl humzalii mtu unajizalia Mwenyewe akuna Mtotoo wa baba Mtotoo ni wa mama zaa ukiwa Tayari Sio Kisa Fulani kazaa Watoto wanahitaji matunzo ya kisaikolojia Zaidi ya kipesa) USHAURI NA MICHANO🙌

Gigy Money ambae kwa sasa ni mama wa mtoto mmoja Mayra aliezaa na mtangazaji wa Choice Fm Mo J

Sponsored by ZAMOTO MEDIA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini