Vanessa Mdee Azindua bidhaa Yake “Bora Star by Vanessa Mdee”

Vanessa Mdee amezindua bidhaa yake “Bora Star by Vanessa Mdee”Mwimbaji Vanessa Mdee amefanikisha ndoto yake leo December 18,2018 baada ya kuzindua rasmi viatu vya shule Bora Star by Vanessa Mdee ambapo anaamini kuwa bidhaa hiyo itanufaisha na kuboresha maisha ya msichana wa Kitanzania/ Kiafrika.

Vanessa Mdee amefanya uzinduzi huyo pale Mlimani City jijini Dar Es Salaam na pia amewataka wasichana wafanye ndoto zao kuwa kubwa zaidi na kuamini kuwa kila kitu kinawezekana.

>>>Today we launched #BoraStarByVanessaMdee I designed this for all the Afrikan girls dreaming out loud. Anything is possible. Available in all Bora stores. Ilikuwa ndoto yangu kutengeneza bidhaa itakayonufaisha na kuboresha maisha ya msichana wa kiTanzania/wa KiAfrika leo nimetimiza ndoto yangu, nasema Asante Mungu”

“Viatu vya #BoraStarByVanessaMdee ni kiatu cha shule kinapatikana katika maduka YOTE ya Bora na pia tunatafuta wakala piga simu namba 0759272009 Celina. 👞 #SwimmingInJesusJuice”

Sponsored by ZAMOTO MEDIA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini