Ndoa yaAlikiba Yajibu Apata Mtoto wa Kiume | ZamotoHabari.

Ndoa yaAlikiba Yajibu Apata Mtoto wa Kiume
Msanii wa muziki wa Bongo Fleva na mkurugenzi wa Rockstar, Alikiba amethibitisha kupata mtoto. kupitia ukurasa wa Snapchat msanii huyo amepost picha zikionesha sura na miguu ya mtoto. ikidaiwa mke wake Amina amejifunua jana.




Baada ya muda kidogo msanii huyo alipost clip fupi ya video ikiwaonyesha watoto wakituma salamu kwa msanii huyo wakimwambi “Hongera kwa kupata mtoto wa kiume na mlinde mtoto kwa ajili yetu”
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini