Maimartha kwa Jide :-Mwanamke Bora ni Mwenye Kusamehe na Huruma | ZamotoHabari.

Maimartha kwa Jide :-Mwanamke Bora ni Mwenye Kusamehe na Huruma
Ikiwa bado mamia ya wtau wakimzonga na kumuandama mwanadada lady jay dee huku wakikumbuka maneno yake ya mwisho aliyowahi kusema kuhsuu viongozi w Clouds media group akiwemo Ruge pamoja na mkurugenzi mwenzake Josph kusaga kuwa hatokaa kukuanyaga katika misbia yake na ndivyo alivyofanya katika siku ya msiba wa Ruge. Maimartha aliamua kuongea na mwanadada huyo kwa kumwambia kuwa alitakiwa kujifunza kukaa kimya kwa hilo.

akindika katika ukurasa wake wa instagram hasa baada ya kuona kuwa kumekuwa na muamko mkubwa wa watu wakisema na kukumbuka maneno hayo huko mwanadada huyo akionekana hayuko mwenye kujali kuhusu msiba huo, maimartha anasema kuwa yeye kama mwanamke alitakiwa kusamehe na kuyaacha hayo yapite na wala sio kuongea kama alivyoongea.


Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini