Tanzania Yaanza Vibaya MICHEZO ya AFCON, Yachapwa Vibaya | ZamotoHabari.


Jana ilikuwa ni siku iliyosubiriwa na Watanzania mbalimbali kuona timu yao ya Taifa (Taifa Stars) ikicheza mechi yake vs Senegal kwenye michuano ya AFCON 2019 ambapo mpaka mpira unaisha matokeo ni Senegal 2-0 Tanzania, magoli ya Senegal yamefungwa na Balde kwenye dakika ya 28 na goli la pili limefungwa kwenye dakika ya 64 na Diatta
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini