Mh Dkt Damas Ndumbaro, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini, Mgeni Rasmi katika Hafla ya kuwakaribisha Mameya toka Marekani wenye asili ya Afrika. Hafla hiyo iliyofanyika katika Hotel ya Serena, Dar Es Salaam, iliandaliwa na Mstahiki Meya wa Jiji la Dar Es Salaam, Mh Isaya Charles Mwita.
Jiunge Grupu la Mishono ya Vitenge VITENGE MISHONO
0 Comments