Bondia Dullah Mbabe afika Bungeni, Waziri Mwakyembe ampongeza | ZamotoHabari.



Waziri Mwakyembe amempongeza Bondia Shaban Ramadhan (Dullah Mbabe) baada ya kuibuka mshindi wa Dunia katika ngumi za kulipwa na kushinda mkanda wa uzito wa kilo 76. Pongezi hizo amezitoa mapema jana wakati Bondia huyo alipofanya ziara Bungeni Jijini Dodoma.
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini