Faiza Ally "Nimelia Sana Tena Kwa Sauti Kubwa Kutoa Machungu' | ZamotoHabari.

Baada ya Ndoa ya Sugu jana na mchumba wake ambae wana mtoto mmoja Mrembo Faiza Ally ambae nae pia alishawahi kuwa katika mahusiano na Sugu Ameangua kulio cha nguvu kutoa machungu

Amesema haya:

"Nimelia sana tena sana kwa sauti, nilikuwa najua mipango ya ndoa yao kama mwezi hivi kuna mtu anayenipenda aliniambia, lakini siku zote hizo haikuniumiza na nilikuwa na amani moyoni, so jana nilikuwa nimeshajiandaa kuvaa nguo mpya na kunywa shampeni ku cellebrate his life , ila kulichonifanya nilie jana sio kwamba nina uchungu nae ila najiuliza nilikosea wapi sipati majibu ya maswali yangu , nilikuwa mtu mwema sana kwake ...ila niko sawa na nifeel free kwa sasa im fine"

Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini