Hawa Nitarejea "Siamini Wanaume..Kuna Mmoja Alinibadilisha Dini Alafu Akanitelekeza" | ZamotoHabari.


SWALI: Vipi kama atatokea mwanaume mwenye nia nzuri ya kukuoa?

HAWA NITAREJEA: Sidhani kama nitakuja kumuamini mwanaume yeyote yule, kwa sababu alishawahi kuja kijana mmoja mpaka nyumbani kwetu, akajitambulisha na kunitolea mahari, nikabadili mpaka dini kuwa Mkristo kwa sababu yake, lakini alikuja kuniacha vibaya, ndio maana mpaka leo hii siamini wanaume kabisa
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipo
BOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini