Mpendwa
Msomaji, tunakushauri kutumia APP yetu ili kusoma kwa urahisi ZAMOTOHABARI
APP. Sasa
ipo Playstore, ili ku-download BOFYA HAPA.
Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp ameweka historia baada ya kushinda tuzo ya Kocha bora wa EPL kwa mara ya tano ndani ya msimu mmoja
Klopp amefanikiwa kuvunja rekodi iliyowekwa na Kocha wa Manchester City, Pep Guardiola katika msimu wa mwaka 2017/18 aliyeshinda tuzo hiyo mara nne
Ameshinda tuzo hizo kwa mwezi Agosti, Septemba, Oktoba, Desemba 2019 na Januari mwaka huu baada ya Liverpool kushinda mechi dhidi ya Sheffield United, Tottenham Hotspur, Manchester United, Wolverhampton Wanderers na West Ham United
Makocha wengine waliokuwa wanawania tuzo hiyo ni Pep Guardiola, Ralph Hasenhüttl na Nigel Pearson
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA
0 Comments