#Coronavirus inaua mtu mmoja kila baada ya dakika 10 nchini Irani. Idadi ya vifo kwa nchi hiyo iliyoathiriwa zaidi Mashariki ya Kati ni 1,284, huku watu 18407 wakiwa wameambukizwa virusi hivyo
Msemaji wa Wizara ya Afya, Kianush Jahanpur alituma tweet kwamba watu 50 wanaambukizwa virusi hivyo kila baada ya saa moja
Kiongozi wa juu wa Irani atawasamehe wafungwa zaidi ya 10,000 kwa juhudi za kupambana na ugonjwa huo mbaya
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa
KUBOFYA HAPA
0 Comments