Shirika hilo limefikia uamuzi huo ili kuendana na Serikali katika kuzuia safari zote za Kimataifa Kenya katika kupambana na kuenea kwa #covid_19
Wasafiri wameshauriwa kubadili tiketi zao hadi baadae au kubadili na kupewa vocha ya kusafiri ndani ya miezi 12 ambapo safari za Mombasa na Kisumu bado zipo
Limesema limelazimika kupunguza safari zake kwa asilimia 70 na kushindwa kufanya safari za Kimataifa na pia mishahara ya Wanyakazi itapunguzwa kwa muda
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA
0 Comments