Dokta wa Timu Ufaransa Ajiua Baada ya Kukutwa na Maambukizi ya Corona | ZamotoHabari.



Dokta Bernard Gonzalez ,60, wa club ya Stade de Reims ya Ligi Kuu nchini Ufaransa (League 1), amejiua baada ya kugundua kuwa ana maambukizi ya virusi vya corona.

Dr Gonzalez hadi mauti yanamfika alikuwa ni Dr wa club ya Stade de Reims kwa miaka 20



APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini