Godbless Lema "Ningekuwa Waziri wa Afya Ningejiuzudhuru" | ZamotoHabari.



Mbunge wa Arusha mjini (Chadema), Godbless Lema  amesema msimamo wa Tanzania una julikana kuhusiana na virusi vya Corona angekuwa ni Waziri wa afya angejiuzudhuru.

” Mimi ningekuwa Waziri wa Afya ningejiuzulu ili kuthamini/kuheshimu maisha ya watu,” aliandika Lema katika ukurasa wake wa Twitter.

Lema amesema hakuna kiburi kisichokuwa na anguko, anguko lenu litakuwa kubwa.

Kiongozi huyo amesema kwa uzembe anaouona wanahesabu siku.

Aliandika ujumbe huu”Msimamo wa Tanzania una julikana juu ya corona virus. Mimi ningekuwa Waziri wa Afya ningejiuzulu ili kuthamini/ kuheshimu maisha ya watu. Hakuna kiburi kisicho kuwa na anguko, anguko menu litakuwa kubwa sana and you will never raise again. Kwa uzembe ninao uona tuhesabu tu siku,”.


APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini