Msanii wa Bongo fleva Shilole (Shishi Baby) na mpenzi wake uchebe wameibuka gumzo mtandaoni baada ya kuposti picha yao ya zamani.
Shilole aliposti leo picha yake ya zamani na mpenzi wake wa sasa na mastaa kibao walijitoleza kukometi na kutumia jukwaa hilo kutaniana na kurushiana vijembe.
Miongoni mwa vitu vilivyonogesha jukwaa hilo ni komenti ya Billinas na nandi ambao wamekomenti lakini wakaishiwa kushushuliwa na Shilole.
officialshilole
Usije ukasahau mume wangu hii ndo best tbt yetu 🤣🤣🤣🤣🤣@uchebe1
officialnandy
Nikiwa mkubwa nataka kuwa kama nyieeeee na naniiiiiii @officialshilole
billnass
Hii ndo Miaka alionibadilishia Battery langu la Gari akakuhonga
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa
KUBOFYA HAPA
0 Comments