Kisa Kalio, Lady Jaydee Amtolea Uvivu Shabiki | ZamotoHabari.


MWANADADA ambaye kwa sasa anatamba na wimbo wa Wife; Judith Wambura ‘Lady Jaydee’ alioshirikishwa na msanii mwenzake Rajab Abdul ‘Harmonize’, hivi karibuni alimjibu shabiki mtandaoni baada ya kuambiwa hana kalio.

Mrembo huyo aliposti picha katika ukurasa wake wa Instagram ambapo aliibuka shabiki mmoja na kuandika hivi “Halafu dada kama hauna kalio vile au macho yangu?” aliuliza @ gwimkai.

Lady Jaydee naye akamjibu kwa kuandika “Ni kweli huwa nakalia shingo,” aliandika gwiji huyo.

ZIMEANDALIWA NA MEMORISE RICHARD

APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini