Kwenye Show ya Dodoma jana msanii @harmonize_tz amefunguka kwa kusema yeye ndio alitoa mtaji wa Millioni 30 ya biashara ya duka la Wolper.
Amefunguka kuwa kitu pekee kimefanya jana aongee ukweli ni baada ya Wolper kumuandama sana mke wake Kipenzi na kumwita Sponsor.
APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA
0 Comments