Makubwa:Amlazimisha Mme Wake Aoe Mke wa Pili Kisa Mmewe Anataka Game Kila Saa | ZamotoHabari.

Habari wana jamvini kunadada mmoja huyo Pichani jirani yetu imekua kero kwa mme wake baada ya kumlazimisha mme wake aoe mke wa pili baada ya kuona kua yeye hawezi kumhimili kua jamaa anaweza kumgegeda kuanzia saa tatu usiku mpaka sasa kumi na bado mchana akitoka kazini anataka afikiee eko. Kwake yeye ameona ni karaha imefikia wakati ameenda kutoa malalamiko kwao na mume huku akiwashauri ndugu zake wa mshauri aoe mke wa pili baada ya mume wake kukataa swala la kuoa mke wa pili.

Hebu tuambizane anacho fanya uyn dada ni sahihi?

APP YETU MPYA: Sasa unaweza kusoma kwa urahisi kupitia APP yetu. Download hapa kwa KUBOFYA HAPA

Post a Comment

0 Comments

close
Banner iklan disini