Na Khadija Seif, Michuzi TV
Balozi wa Winprincess na Msanii wa Bongo Fleva, Gigy Money ametembelea banda la Winprincess Casino akiwa na Washiriki wa Miss Tanzania katika Maonesho ya 47 ya Biashara (Sabasaba).
Akizungumza wakati alipotembelea banda hilo, Gigy Money amesema kuwa kama Balozi ameona ubora wa Winprincess kutokana na kubashiri mechi mbali mbali na kushinda, huku akitoa wito kuweka fedha Winprincess kuliko kuweka fedha hizo kwenye kibubu.
Aidha, Gigy Money ameiomba Serikali iwaangalie sana Warembo (Miss Tanzania) pia ameshauri wazazi kuwapa vijana uhuru wa kuchagua fani hususani mabinti wanaopenda urembo kutokanana na tasnia hiyo imefungua fursa nyingi kwa wasichana wadogo.
Sanjari na hayo ametoa mwito kwa vijana kuanzia umri wa miaka 18 na kuendelea kubashiri na Winprincess Casino kwani fedha zipo na yeye pia ni mmoja wa washindi wa kubashiri.
Balozi wa Winprincess na Msanii wa Bongo Fleva, Gigy Money akizungumza na Wanahabari mara baada ya kutembelea banda la Winprincess Casino katika Maonesho ya 47 ya Biashara akiwa na Warembo wa shindano la Miss Tanzania Jijini Dar es salaam
Tembelea Website ya Nyimbo za Injili Africa. Pakua na Kusikiliza bure bila malipoBOFYA HAPA
0 Comments